Vipashio vya Lugha : Sauti-Irabu

irabu

Mwandishi: Zablon Rogito SAUTI Maana: Sauti ni mlio unaotokana na mgusano wa ala za kutamkia wakati wa kuzungumza Aina za sauti Sauti za lugha ya kiswahili zimegawika katika makundi mawili: Irabu Konsonanti Irabu Irabu ni sauti ambazo inapotamkwa hewa kutoka mapafuni haizuiliwi Kwokwote, yaani hewa upita kwa ulaini. Sauti za irabu ni tano nazo ni: …

Chozi la Heri: Swali la Dondoo (al 20)

chozi la heri cover page

Chozi la Heri: Assumpta Matei Soma kauli ifuatayo kisha ujibu maswali yanayofuta “ Sasa unarejea kwenu kupata tumekuporomosha kwa viganja vyetu wenyewe.” a)   Eleza mukutadha wa dondoo hili. (alama 4) b)   Bainisha tamathali ya usemi iliyotumika katika kauli hii. (alama 2) c)   Bainisha matumizi mengine kumi ya tamathali hii ya usemi katika riwaya. (alama 10) …

Kigogo: Uchanganuzi wa tendo la kwanza

kigogo cover page

KIGOGO: Pauline Kea Onyesho la Kwanza Tendo la 1&2 Mandhari: kwenye karakana,soko la Chapakazi Wakati : saa mbili asubuhi Wahusika : Boza,Sudi,Kombe,Ashua,Mzee Kenga,Chopi,Tunu Maswali ya Uchanganuzi Kwa nini Boza anatematema mate ? Ashua anafanya kazi gani? Taja shida wanazopitia sokoni. Taja mambo yanayoonyesha kuwa Boza,Sudi,Ashua na Kombe ni maskini. Boza ana msimamo gani kuhusu utawala wa sagamoyo. Kombe …

18 Funniest Swahili Phrases used in Kenya

laughing emoticon

Beware of the following Kiswahili phrases 1.Nitakupigia You will wait forever. 2.Nakuja Kenyans say this while they’re leaving. 3.Si mbaya saana Somebody is not satisfied but they will not admit it. 4.Vile nimeona/nimesikia hata siongei Unfortunately, if somebody tells you this, expect more stories 5. Sitachelewa saana You should be ready to wait and wait. …

Sweetest Swahili Proverbs

Haraka haraka haina Baraka Ukifanya jambo kwa haraka huenda usifanikiwe Mke ni nguo mgomba ni kupalilia Kitu kizuri huwa kimetunzwa vizuri Chelewa chelewa utapata mwana si wako Mtu ambaye huwa wa kwanza katika jambo huweza kupata kitu kizuri Masikini akipata matako hulia mbwata Mtu ambaye alikuwa mhitaji akifanikiwa huanza kuwa na maringo Adui wa mtu …