Swali la Dondoo: Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine

“Haikuwa stahiki yake kubebeshwa mzigo ule. Ungelimsababishia dhiki nyingi…” a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 4) b) Tambua tamathali ya usemi iliyotumika katika dondoo hili. (alama 2) c) Eleza umuhimu wa anayerejelewa katika kufanikisha maudhui ya hadithi hii. (alama 6) d)Mhusika anayerejelewa katika dondoo hili anahofia mambo mengi,fafanua kwa kutoa mifano mwafaka. (alama 8)

Share this post

Uchanganuzi wa Sentensi Changamano : Kielelezo cha Jedwali

changamano

Utangulizi Sentensi changamano huwa na kishazi huru na kishazi tegemezi. Rejelea makala kuhusu aina za sentensi kimuundo pamoja na aina za uchanganuzi wa sentensi. Makala ya leo yatashughulikia kielezo cha jedwali. Hatua za uchanganuzi Tambua kundi nomino na kundi tenzi Tambua kishazi tegemezi.Je,kishazi tegemezi kinajitokeza upande wa kundi nomino au kundi tenzi ? Tambua aina mbalimbali … Read more Uchanganuzi wa Sentensi Changamano : Kielelezo cha Jedwali

Share this post

Vipashio vya Lugha : Sauti-Irabu

irabu

Mwandishi: Zablon Rogito SAUTI Maana: Sauti ni mlio unaotokana na mgusano wa ala za kutamkia wakati wa kuzungumza Aina za sauti Sauti za lugha ya kiswahili zimegawika katika makundi mawili: Irabu Konsonanti Irabu Irabu ni sauti ambazo inapotamkwa hewa kutoka mapafuni haizuiliwi Kwokwote, yaani hewa upita kwa ulaini. Sauti za irabu ni tano nazo ni: … Read more Vipashio vya Lugha : Sauti-Irabu

Share this post

Chozi la Heri: Swali la Dondoo (al 20)

chozi la heri cover page

Chozi la Heri: Assumpta Matei Soma kauli ifuatayo kisha ujibu maswali yanayofuta “ Sasa unarejea kwenu kupata tumekuporomosha kwa viganja vyetu wenyewe.” a)   Eleza mukutadha wa dondoo hili. (alama 4) b)   Bainisha tamathali ya usemi iliyotumika katika kauli hii. (alama 2) c)   Bainisha matumizi mengine kumi ya tamathali hii ya usemi katika riwaya. (alama 10) … Read more Chozi la Heri: Swali la Dondoo (al 20)

Share this post

Kigogo: Uchanganuzi wa tendo la kwanza

kigogo cover page

KIGOGO: Pauline Kea Onyesho la Kwanza Tendo la 1&2 Mandhari: kwenye karakana,soko la Chapakazi Wakati : saa mbili asubuhi Wahusika : Boza,Sudi,Kombe,Ashua,Mzee Kenga,Chopi,Tunu Maswali ya Uchanganuzi Kwa nini Boza anatematema mate ? Ashua anafanya kazi gani? Taja shida wanazopitia sokoni. Taja mambo yanayoonyesha kuwa Boza,Sudi,Ashua na Kombe ni maskini. Boza ana msimamo gani kuhusu utawala wa sagamoyo. Kombe … Read more Kigogo: Uchanganuzi wa tendo la kwanza

Share this post

18 Funniest Swahili Phrases used in Kenya

laughing emoticon

Beware of the following Kiswahili phrases 1.Nitakupigia You will wait forever. 2.Nakuja Kenyans say this while they’re leaving. 3.Si mbaya saana Somebody is not satisfied but they will not admit it. 4.Vile nimeona/nimesikia hata siongei Unfortunately, if somebody tells you this, expect more stories 5. Sitachelewa saana You should be ready to wait and wait. … Read more 18 Funniest Swahili Phrases used in Kenya

Share this post

Sweetest Swahili Proverbs

Haraka haraka haina Baraka Ukifanya jambo kwa haraka huenda usifanikiwe Mke ni nguo mgomba ni kupalilia Kitu kizuri huwa kimetunzwa vizuri Chelewa chelewa utapata mwana si wako Mtu ambaye huwa wa kwanza katika jambo huweza kupata kitu kizuri Masikini akipata matako hulia mbwata Mtu ambaye alikuwa mhitaji akifanikiwa huanza kuwa na maringo Adui wa mtu … Read more Sweetest Swahili Proverbs

Share this post

Dhana ya Sentensi Ambatano

MAANA : Sentensi ambatano ni sentensi ambayo ina vishazi huru viwili au zaidi. Kishazi huru huwa na maana kamili. Kikiondolewa katika sentensi kuu huwa kina maana iliyokamilika. Mara nyingi sentensi ambatano  huwa na kiunganishi. Kiunganishi hiki hutumiwa kuziunganisha vishazi hivi. Hivyo basi, sentensi ambatano huwa na sentensi mbili au zaidi ambazo zimekamilika kimaana na kuunganishwa pamoja. … Read more Dhana ya Sentensi Ambatano

Share this post

Silabi

pronunciation

Silabi ni kipashio kinachotamkika Maana Sauti mbili au zaidi zinazotamkwa kwa pamoja. Sauti mbili au zaidi ambazo hutamkwa kama  fungu moja la sauti. Aina za silabi Kuna aina mbili za sila katika Kiswahili Silabi funge Hizi ni silabi ambazo huishwa kwa konsonanti Mfano: da-k-tari, m-to-to Silabi wazi Hizi ni silabi ambazo huishia kwa irabu Mfano: … Read more Silabi

Share this post