About

Tovuti hii ilianzishwa kwa lengo la kuendeleza mafunzo ya somo la Kiswahili mtandaoni. Hatua hii itawafaa wanafunzi na walimu kwa jumla.Mwanzilishi ni mwalimu wa Kiswahili.

Kila wiki utapata maswali kuhusu fasihi simulizi,fasihi andishi,isimu jamii,matumizi ya lugha na insha.

Walimu wanakaribishwa kutoa mchangao kwa kujibu maswali.

CATEGORIES

Total Page Visits: 639 - Today Page Visits: 1