Aina ya Mishororo katika shairi

AINA YA MISHORORO Mishata Ni mshororo katika ubeti wa shairi ambao haujakamilika kimaana na hutegemea mwingine unaofuata ili kupitisha ujumbe. Sifa za mishororo mishata Huwa na mizani michache Msomaji hulazimika kusoma mshororo mwingine ili kupata maana. Haitoi ujumbe kamili. Mistari kifu/toshelezi Ni mishororo inayojitosheleza kimaana bila kutegemea mishororo mingine. Uhuru wa mshairi

Share this post