Kiswahili Syllabus Form 4

KIDATO CHA KWANZA KIDATO CHA PILI KIDATO CHA TATU KIDATO CHA NNE KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA Maamkizi na mazungumzo 2. Ufahamu wa kusikiliza 3. Kusikiliza na kudadisi 1. Sifa bainifu za fasihi simulizi na fasihi andishi 2. Muanisho wa fasihi simulizi (i)semi (ii)Masimulizi ya hadithi (iii)Mazungumzo 3. Maigizo kutegemea shabaha na miktadha 4. Ngomezi 5. Ushairi … Read more Kiswahili Syllabus Form 4

Share this post

Sentensi Ambatano Changamano

changamano

Kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu sentensi ambayo ni ambatano lakini ina kishazi tegemezi! Ikumbukwe kuwa sentensi huainishwa kimuundo kwa kuzingatia vishazi. Kimuundo kuna aina tatu za sentensi katika lugha ya Kiswahili Ambatano Changamano Sentensi ambatano changamano  ina vishazi huru viwili au zaidi pamoja na kishazi tegemezi Tazama sentensi ifuatayo Rais aliyechaguliwa anawahutubia wananchi  lakini wote … Read more Sentensi Ambatano Changamano

Share this post

Swali la Dondoo

kigogo

Tamthilia ya Kigogo-Pauline Kea “Ameenda kutafuta kiamshakinywa” a)Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 4) Haya ni maneno ya Sudi kwa Tunu.Wako barazani mwa nyumba ya Sudi.Ni baada ya Pili kuitisha chakula kwani ana njaa. Tunu anataka kujua alikoenda Ashua. (4×1) b) Fafanua umuhimu wa anayerejelewa na kauli hii. (alama 8) Ashua ametumiwa kuonyesha wanawake ambao … Read more Swali la Dondoo

Share this post