Kamusi za Kiswahili Mtandaoni

Kamusi za Kiswahili Mtandaoni Lugha ya Kiswahili inaendelea kukua kwa kasi.Hivi sasa inatumika mtandaoni sana. Kuna tovuti nyingi ambazo zimeandikwa kwa lugha ya Kiswahili. Pia,lugha hii imeongezwa katika tovuti ya google translate. Kuna aina nyingi za kamusi mtandaoni, kuna kamusi za lugha mbili au zaidi ,kwa mfano : Kiswahili-Kiingereza. Vilevile kuna kamusi ya lugha moja,…