Swali la leo

Swali la leo: Ningependa kujua vitabu bora vya kudurusu sarufi,insha na fasihi. ——- Linet Maoni ya mwandishi Ni kweli kuna utata mkubwa katika kutambua vitabu faafu vya kutumia hasa katika somo la Kiswahili. Ifuatayo ni orodha ya vitabu ambavyo huenda vikakufaa. Vitabu hivi vyote vinapatikana Textbookcentre SARUFI Darubini ya Sarufi- Assumpta K. Matei Upeo wa…