Chozi la Heri: Swali la Dondoo (al 20)

chozi la heri cover page

Chozi la Heri: Assumpta Matei Soma kauli ifuatayo kisha ujibu maswali yanayofuta “ Sasa unarejea kwenu kupata tumekuporomosha kwa viganja vyetu wenyewe.” a)   Eleza mukutadha wa dondoo hili. (alama 4) b)   Bainisha tamathali ya usemi iliyotumika katika kauli hii. (alama 2) c)   Bainisha matumizi mengine kumi ya tamathali hii ya usemi katika riwaya. (alama 10) … Read more Chozi la Heri: Swali la Dondoo (al 20)

Share this post

Kigogo: Uchanganuzi wa tendo la kwanza

kigogo cover page

KIGOGO: Pauline Kea Onyesho la Kwanza Tendo la 1&2 Mandhari: kwenye karakana,soko la Chapakazi Wakati : saa mbili asubuhi Wahusika : Boza,Sudi,Kombe,Ashua,Mzee Kenga,Chopi,Tunu Maswali ya Uchanganuzi Kwa nini Boza anatematema mate ? Ashua anafanya kazi gani? Taja shida wanazopitia sokoni. Taja mambo yanayoonyesha kuwa Boza,Sudi,Ashua na Kombe ni maskini. Boza ana msimamo gani kuhusu utawala wa sagamoyo. Kombe … Read more Kigogo: Uchanganuzi wa tendo la kwanza

Share this post

Swali la Dondoo

kigogo

Tamthilia ya Kigogo-Pauline Kea “Ameenda kutafuta kiamshakinywa” a)Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 4) Haya ni maneno ya Sudi kwa Tunu.Wako barazani mwa nyumba ya Sudi.Ni baada ya Pili kuitisha chakula kwani ana njaa. Tunu anataka kujua alikoenda Ashua. (4×1) b) Fafanua umuhimu wa anayerejelewa na kauli hii. (alama 8) Ashua ametumiwa kuonyesha wanawake ambao … Read more Swali la Dondoo

Share this post

Uhuru wa Mshairi

uhuru wa mshairi

Mshairi amekubaliwa kutumia lugha namna anavyotaka wakati anatunga shairi.Anaweza kukiuka kanuni ambazo hutawala sarufi. Uhuru huu humsaidia kukidhi mahitaji ya kiarudhi kama vile urari wa vina na usawa wa mizani. Uhuru wa mshairi umegawika katika vipengele vifuatavyo Inkisari Tabdila Mazida Lahaja Kufinyanga sarufi Kikale Utohozi Inkisari Mshairi ana uhuru wa kufupisha maneno fulani anapotunga shairi. … Read more Uhuru wa Mshairi

Share this post

Namna ya kutambua sifa za wahusika katika fasihi

mwalimu ubaoni

Maelezo ya mwandishi Waandishi mara nyingi hutaja sifa za wahusika moja kwa moja au kwa njia ya maelezo. Shogake Dada ana Ndevu-Alifa Chokocho Safia Ni mwenye bidii- hachoki kumsaidia mamake kazizi yoyote mle nyumbani mwao,hupika,huosha vyombo,hufua ,hupiga pasi na kutandika kila siku. Ni mcha mungu- anafuata kanuni zote alizoamrisha Mungu kupitia dini yao. Tumbo Lisiloshiba- … Read more Namna ya kutambua sifa za wahusika katika fasihi

Share this post

Fasihi Andishi:Maswali kuhusu Kigogo

Onyesho la Kwanza Tendo la 1&2 Mandhari: kwenye karakana,soko la Chapakazi Wakati : saa mbili asubuhi Wahusika : Boza,Sudi,Kombe,Ashua,Kenga,Chopi Maswali kwa wanafunzi Kwa nini Boza anatematema mate? Ashua anafanya kazi gani? Taja shida wanazopitia sokoni. Taja mambo yanayoonyesha kuwa Boza,Sudi,Ashua na Kombe ni maskini. Boza ana msimamo gani kuhusu utawala wa sagamoyo. Kombe anamaanisha nini anaposema “kuwa … Read more Fasihi Andishi:Maswali kuhusu Kigogo

Share this post