Sweetest Swahili Proverbs

Haraka haraka haina Baraka Ukifanya jambo kwa haraka huenda usifanikiwe Mke ni nguo mgomba ni kupalilia Kitu kizuri huwa kimetunzwa vizuri Chelewa chelewa utapata mwana si wako Mtu ambaye huwa wa kwanza katika jambo huweza kupata kitu kizuri Masikini akipata matako hulia mbwata Mtu ambaye alikuwa mhitaji akifanikiwa huanza kuwa na maringo Adui wa mtu … Read more Sweetest Swahili Proverbs

Share this post

Namna ya kutambua sifa za wahusika katika fasihi

mwalimu ubaoni

Maelezo ya mwandishi Waandishi mara nyingi hutaja sifa za wahusika moja kwa moja au kwa njia ya maelezo. Shogake Dada ana Ndevu-Alifa Chokocho Safia Ni mwenye bidii- hachoki kumsaidia mamake kazizi yoyote mle nyumbani mwao,hupika,huosha vyombo,hufua ,hupiga pasi na kutandika kila siku. Ni mcha mungu- anafuata kanuni zote alizoamrisha Mungu kupitia dini yao. Tumbo Lisiloshiba- … Read more Namna ya kutambua sifa za wahusika katika fasihi

Share this post

Aina za maigizo katika Fasihi Simulizi

AINA ZA MAIGIZO Maigizo ni utanzu muhimu sana katika Fasihi Simulizi. Watendaji huweza kuiga tabia za wahusika wengine ili kuwasilisha ujumbe fulani katika jamii. Utanzu huu una vipera mbalimbali kama vile, vichekesho na michezo ya jukwaani. Leo nitazungumzia aina mbili kuu za maigizo. Aina ni tofauti na vipera. Maigizo yamegawika katika aina mbili kuu ambazo … Read more Aina za maigizo katika Fasihi Simulizi

Share this post

Aina ya Mishororo katika shairi

AINA YA MISHORORO Mishata Ni mshororo katika ubeti wa shairi ambao haujakamilika kimaana na hutegemea mwingine unaofuata ili kupitisha ujumbe. Sifa za mishororo mishata Huwa na mizani michache Msomaji hulazimika kusoma mshororo mwingine ili kupata maana. Haitoi ujumbe kamili. Mistari kifu/toshelezi Ni mishororo inayojitosheleza kimaana bila kutegemea mishororo mingine. Uhuru wa mshairi

Share this post