Maswali ya marudio: Kigogo

Swali la kwanza (alama 20)

Jamii imemkandamiza mwanamke.Thibitisha ukweli wa kauli hii kwa kurejelea Tamthilia ya Kigogo.

Majibu yatatolewa tarehe 11/4/2019.Changia