Vipashio vya Lugha : Sauti-Irabu

irabu

Mwandishi: Zablon Rogito SAUTI Maana: Sauti ni mlio unaotokana na mgusano wa ala za kutamkia wakati wa kuzungumza Aina za sauti Sauti za lugha ya kiswahili zimegawika katika makundi mawili: Irabu Konsonanti Irabu Irabu ni sauti ambazo inapotamkwa hewa kutoka mapafuni haizuiliwi Kwokwote, yaani hewa upita kwa ulaini. Sauti za irabu ni tano nazo ni: … Read more Vipashio vya Lugha : Sauti-Irabu

Share this post

Dhana ya Sentensi Ambatano

MAANA : Sentensi ambatano ni sentensi ambayo ina vishazi huru viwili au zaidi. Kishazi huru huwa na maana kamili. Kikiondolewa katika sentensi kuu huwa kina maana iliyokamilika. Mara nyingi sentensi ambatano  huwa na kiunganishi. Kiunganishi hiki hutumiwa kuziunganisha vishazi hivi. Hivyo basi, sentensi ambatano huwa na sentensi mbili au zaidi ambazo zimekamilika kimaana na kuunganishwa pamoja. … Read more Dhana ya Sentensi Ambatano

Share this post

Silabi

pronunciation

Silabi ni kipashio kinachotamkika Maana Sauti mbili au zaidi zinazotamkwa kwa pamoja. Sauti mbili au zaidi ambazo hutamkwa kama  fungu moja la sauti. Aina za silabi Kuna aina mbili za sila katika Kiswahili Silabi funge Hizi ni silabi ambazo huishwa kwa konsonanti Mfano: da-k-tari, m-to-to Silabi wazi Hizi ni silabi ambazo huishia kwa irabu Mfano: … Read more Silabi

Share this post

Dhana ya mofimu

Hamjambo wasomaji wapendwa? Karibuni katika kipindi cha leo. Nimejitayarisha vizuri kueleza dhana ya mofimu katika lugha ya Kiswahili. Mofimu ni nini? Mofimu ni kipashio kidogo katika lugha ambacho hakiwezi kugawika zaidi bila kupoteza maana yake ya kisarufi. Ikumbukwe kuwa kiambishi ni mofimu ambayo huongezwa kabla au baada ya mzizi wa neno ili kuwakilisha dhana fulani. … Read more Dhana ya mofimu

Share this post

Dhana ya mzizi wa neno

Dhana ya mzizi wa neno Tunaposikia neno mzizi jambo la kwanza ambalo hutujia akilini ni sehemu fulani ya mti.Mti  husimama na kukua kwa sababu umeshikiliwa ardhini na mizizi.Hivyo basi,neno huitaji mzizi. Sehemu hii ni muhimu sana katika neno kwani hubeba maana ya kimsingi ya neno fulani.Kwa mfano kutokana na mzizi –tu tunaweza kupata maneno kama; … Read more Dhana ya mzizi wa neno

Share this post