Swali la Dondoo

Tamthilia ya Kigogo-Pauline Kea

“Ameenda kutafuta kiamshakinywa”

a)Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 4)

Haya ni maneno ya Sudi kwa Tunu.Wako barazani mwa nyumba ya Sudi.Ni baada ya Tunu kutaka kujua alikoenda Ashua. (4×1)

b) Fafanua umuhimu wa anayerejelewa na kauli hii. (alama 8)

c) Huku ukitoa maelezo onyesha wahusika wengine wanne wanaompinga msemewa. (alama 8)


Changia