swali lako

Swali la leo

Swali la leo:

Ningependa kujua vitabu bora vya kudurusu sarufi,insha na fasihi.

------- Linet
Maoni ya mwandishi

Ni kweli kuna utata mkubwa katika kutambua vitabu faafu vya kutumia hasa katika somo la Kiswahili. Ifuatayo ni orodha ya vitabu ambavyo huenda vikakufaa. Vitabu hivi vyote vinapatikana Textbookcentre

SARUFI

INSHA

FASIHI

Andikeni maoni yenu ………..

Share this post

Leave a Comment