Chozi la Heri: Swali la Dondoo (al 20)

chozi la heri cover page

Chozi la Heri: Assumpta Matei Soma kauli ifuatayo kisha ujibu maswali yanayofuta “ Sasa unarejea kwenu kupata tumekuporomosha kwa viganja vyetu wenyewe.” a)   Eleza mukutadha wa dondoo hili. (alama 4) b)   Bainisha tamathali ya usemi iliyotumika katika kauli hii. (alama 2) c)   Bainisha matumizi mengine kumi ya tamathali hii ya usemi katika riwaya. (alama 10) … Read more Chozi la Heri: Swali la Dondoo (al 20)

Share this post

Silabi

pronunciation

Silabi ni kipashio kinachotamkika Maana Sauti mbili au zaidi zinazotamkwa kwa pamoja. Sauti mbili au zaidi ambazo hutamkwa kama  fungu moja la sauti. Aina za silabi Kuna aina mbili za sila katika Kiswahili Silabi funge Hizi ni silabi ambazo huishwa kwa konsonanti Mfano: da-k-tari, m-to-to Silabi wazi Hizi ni silabi ambazo huishia kwa irabu Mfano: … Read more Silabi

Share this post

Swali la leo

swali lako

Swali la leo: Ningependa kujua vitabu bora vya kudurusu sarufi,insha na fasihi. ——- Linet Maoni ya mwandishi Ni kweli kuna utata mkubwa katika kutambua vitabu faafu vya kutumia hasa katika somo la Kiswahili. Ifuatayo ni orodha ya vitabu ambavyo huenda vikakufaa. Vitabu hivi vyote vinapatikana Textbookcentre SARUFI Darubini ya Sarufi- Assumpta K. Matei Upeo wa … Read more Swali la leo

Share this post