Kiswahili Syllabus Form 2

KIDATO CHA KWANZA KIDATO CHA PILI KIDATO CHA TATU KIDATO CHA NNE   KUSIKILIZA NA KUZUNGUMUZA Matamshi bora 1. Silabi tatanishi km pa/ba,sa/sha,la/ra,cha/sha,za/sa n.k 2. Sauti tatanishi k.m b/mb,d/nd,g/ng,n.k 3. Vitate k.m kua/kuwa 4. Vitanza ndimi2. Maamkizi na mazungumzo 3. Ufahamu wa kusikiliza 4. Kusiliza na kudadisi 2. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA Misingi ya … Read more Kiswahili Syllabus Form 2

Share this post

Kiswahili Syllabus Form 1

KIDATO CHA KWANZA KIDATO CHA PILI KIDATO CHA TATU KIDATO CHA NNE KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA Matamshi bora 1. Kiimbo 2. Shadda 3. Irabu/vokali-/a/,/e/,/i/,/o/,/u/ 4. Konsonanti-/b/,/ch/,/d/,/dh/,/f/,/g/,/gh/,/h/,/j/,/k/ ,/l/,/m/,/n/,/ng/,/ny/,/p/,/r/,/s/,/sh/,/t/,/th/,/v/,/w/,/y/,/z/ 5. Ala za sauti/kutamkia 6. Namna ya kutamka na aina za sauti k.m ghuna,sighuna/hafifu,vipasuo,vikwamizo n.k 7. Silabi 8. Maneno 9. Vitate k.m baba,papa 10. Vitanza ndimi Maamkizi na mazungumuzo … Read more Kiswahili Syllabus Form 1

Share this post

Kiswahili Syllabus Form 4

KIDATO CHA KWANZA KIDATO CHA PILI KIDATO CHA TATU KIDATO CHA NNE KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA Maamkizi na mazungumzo 2. Ufahamu wa kusikiliza 3. Kusikiliza na kudadisi 1. Sifa bainifu za fasihi simulizi na fasihi andishi 2. Muanisho wa fasihi simulizi (i)semi (ii)Masimulizi ya hadithi (iii)Mazungumzo 3. Maigizo kutegemea shabaha na miktadha 4. Ngomezi 5. Ushairi … Read more Kiswahili Syllabus Form 4

Share this post