Uchanganuzi wa Sentensi Changamano : Kielelezo cha Jedwali

changamano

Utangulizi Sentensi changamano huwa na kishazi huru na kishazi tegemezi. Rejelea makala kuhusu aina za sentensi kimuundo pamoja na aina za uchanganuzi wa sentensi. Makala ya leo yatashughulikia kielezo cha jedwali. Hatua za uchanganuzi Tambua kundi nomino na kundi tenzi Tambua kishazi tegemezi.Je,kishazi tegemezi kinajitokeza upande wa kundi nomino au kundi tenzi ? Tambua aina mbalimbali … Read more Uchanganuzi wa Sentensi Changamano : Kielelezo cha Jedwali

Share this post

Uchanganuzi wa Sentensi Changamano

picha ya kishazi tegemezi

Kielelezo cha Kistari Hii ni mbinu ya kimsingi ya kuchanganua sentensi. Mwanafunzi akielewa mbinu hii vizuri atakuwa na msingi mzuri wa kuchanganua sentensi yoyote kwa kutumia mishale,matawi na jedwali. Sentensi changamano ni sentensi ambayo ina kishazi huru na kishazi tegemezi. Mtahiniwa lazima aweze kutambua mambo haya ili aweze  kutenganisha kundi tenzi na kundi nomino. Leo … Read more Uchanganuzi wa Sentensi Changamano

Share this post

Dhana ya uchanganuzi wa sentensi

picha ya kishazi tegemezi

Utangulizi Hatua ya kwanza katika kuchanganua/kupambanua sentensi ni kutambua aina yake. Kuna aina tatu za sentensi kimuundo. Kuna sentensi sahili, sentensi ambatano na sentensi changamano. Ukitambua aina ya sentensi kimuundo utaweza kutamba kundi nomino na kundi tenzi. Hatua ya pili ni kutambua kundi nomino (KN) na kundi tenzi (KT). Kuna miundo mingi ya KN na … Read more Dhana ya uchanganuzi wa sentensi

Share this post