Uhuru wa Mshairi

uhuru wa mshairi

Mshairi amekubaliwa kutumia lugha namna anavyotaka wakati anatunga shairi.Anaweza kukiuka kanuni ambazo hutawala sarufi. Uhuru huu humsaidia kukidhi mahitaji ya kiarudhi kama vile urari wa vina na usawa wa mizani. Uhuru wa mshairi umegawika katika vipengele vifuatavyo Inkisari Tabdila Mazida Lahaja Kufinyanga sarufi Kikale Utohozi Inkisari Mshairi ana uhuru wa kufupisha maneno fulani anapotunga shairi. … Read more Uhuru wa Mshairi

Share this post

Aina ya Mishororo katika shairi

AINA YA MISHORORO Mishata Ni mshororo katika ubeti wa shairi ambao haujakamilika kimaana na hutegemea mwingine unaofuata ili kupitisha ujumbe. Sifa za mishororo mishata Huwa na mizani michache Msomaji hulazimika kusoma mshororo mwingine ili kupata maana. Haitoi ujumbe kamili. Mistari kifu/toshelezi Ni mishororo inayojitosheleza kimaana bila kutegemea mishororo mingine. Uhuru wa mshairi

Share this post