Dhana ya mzizi wa neno

Dhana ya mzizi wa neno Tunaposikia neno mzizi jambo la kwanza ambalo hutujia akilini ni sehemu fulani ya mti.Mti  husimama na kukua kwa sababu umeshikiliwa ardhini na mizizi.Hivyo basi,neno huitaji mzizi. Sehemu hii ni muhimu sana katika neno kwani hubeba maana ya kimsingi ya neno fulani.Kwa mfano kutokana na mzizi –tu tunaweza kupata maneno kama;…

Jedwali la Konsonanti za Kiswahili

Jedwali lifuatalo ni muhimu sana katika kuelezea uainishaji wa konsonanti za Kiswahili. Kutokana na jedwali hili tunaweza kutambua mambo yafuatayo; Mahali konsonanti hutamkiwa. Ni ghuna au sighuna Namna hewa inavyobanwa. Kumekuwa na mjadala kuhusu sauti /j/. Je,ni kipasuo au kipasuo-kwamizwa? Swali hili litajibiwa katika makalo yatakayofuata.   H- hafifu/sighuna Gh- ghuna

Dhana ya sentensi sahili

Sentensi ni neno au kifungu cha maneno chenye ujumbe kamili. Katika lugha ya Kiswahili kuna aina tatu za sentensi kimuundo. Sentensi sahili sentensi ambatano sentensi changamano Leo tutazungumzia sentensi sahili.Sentensi sahili huwa na kishazi huru kimoja,kwa hivyo inaeleza dhana moja tu.Inaweza kuwa hata na neno moja tu. Kwa mfano: Wamewasili. “Wamewasili” ni sentensi kamili.Inapitisha ujumbe…