Dhana ya sentensi sahili

Sentensi ni neno au kifungu cha maneno chenye ujumbe kamili. Katika lugha ya Kiswahili kuna aina tatu za sentensi kimuundo. Sentensi sahili sentensi ambatano sentensi changamano Leo tutazungumzia sentensi sahili.Sentensi sahili huwa na kishazi huru kimoja,kwa hivyo inaeleza dhana moja tu.Inaweza kuwa hata na neno moja tu. Kwa mfano: Wamewasili. “Wamewasili” ni sentensi kamili.Inapitisha ujumbe … Read more Dhana ya sentensi sahili

Share this post

Aina ya Mishororo katika shairi

AINA YA MISHORORO Mishata Ni mshororo katika ubeti wa shairi ambao haujakamilika kimaana na hutegemea mwingine unaofuata ili kupitisha ujumbe. Sifa za mishororo mishata Huwa na mizani michache Msomaji hulazimika kusoma mshororo mwingine ili kupata maana. Haitoi ujumbe kamili. Mistari kifu/toshelezi Ni mishororo inayojitosheleza kimaana bila kutegemea mishororo mingine. Uhuru wa mshairi

Share this post